CHIMBUKO LA DHIKIRI: MABADILIKO NA ATHARI ZAKE KWA JAMII YA WAZANZIBARI

  • Type: Project
  • Department: African Studies
  • Project ID: AFS0002
  • Access Fee: ₦5,000 ($14)
  • Pages: 93 Pages
  • Format: Microsoft Word
  • Views: 822
  • Report This work

For more Info, call us on
+234 8130 686 500
or
+234 8093 423 853

SHUKRANI

Kazi hii imekamilika kutokana na michango ya watu mbalimbali walioshirikiana nami kuona inafanyika kama ilivyopangwa. Sina budi kutoa shukrani zangu za dhati kwa watu wote walionisaidia katika kufanikisha utafiti huu. Kwanza, kabisa napenda kumshukuru Mungu kwa kunipa uhai, uzima na afya njema hata nikaweza kufanikisha kazi hii bila matatizo yoyote yale ya kiafya. Pia alinipa akili na ufahamu wa kufanikisha kazi hii na kufikia tamati. Pili, namshukuru msimamizi wangu, Dkt Muhammed Seif Khatib ambaye amekuwa nami bega kwa bega ili kuhakikisha kazi hii inafikia kiwango hiki. Licha ya yeye kuwa na shughuli nyingi lakini alijitolea muda wake mwingi katika kunisahihisha na kunielekeza pale nilipohitaji msada. Nauthamini sana mchango wake. Mungu ambariki na amzidishie moyo wa imani. Tatu, naishukuru sana familia yangu akiwemo mke wangu mpenzi Ashura Ali na watoto wetu Nayfat Makame, Ummu Ayman Makame na Suhaila Makame kwa kunikubalia kujiunga na chuo bila kujali upweke walionao na kunisaidia pale nilipohitaji msaada wa hali na mali. Mungu awazidishie baraka na neema katika maisha yao. Nne, nawashukuru sana rafiki zangu na wanafunzi wenzangu ambao tulishirikiana na kushauriana vyema katika masomo akiwemo Rasuli Muhammed, Haruwa Kheir, Zuhura Said, Arafa Jumanne na Zeyana Omar, kwa pamoja nawatakia kila la kheri katika maisha yao. Tano, shukurani zangu za dhati kabisa ziwafikie „Ahlul dhikiri‟ wote wakiwemo Makhalifa, Muridi, Watu wazima na Walimu wa Madrasa kwa kunisaidia kupata data mbalimbali za utafiti wangu. Mungu awajaze neema. Mwisho shukurani zangu za pekee kabisa zimfikie mwalimu wangu Dkt. Muhyyidin Ahmad Khamis (maalim Siasa) mkuu wa chuo cha Kiislamu Zanzibar kwa kunisaidia kunipa mwongozo katika utafiti huu. Mungu amzidishie imani na neema katika maisha.

CHIMBUKO LA DHIKIRI: MABADILIKO NA ATHARI ZAKE KWA JAMII YA WAZANZIBARI
For more Info, call us on
+234 8130 686 500
or
+234 8093 423 853

Share This
  • Type: Project
  • Department: African Studies
  • Project ID: AFS0002
  • Access Fee: ₦5,000 ($14)
  • Pages: 93 Pages
  • Format: Microsoft Word
  • Views: 822
Payment Instruction
Bank payment for Nigerians, Make a payment of ₦ 5,000 to

Bank GTBANK
gtbank
Account Name Obiaks Business Venture
Account Number 0211074565

Bitcoin: Make a payment of 0.0005 to

Bitcoin(Btc)

btc wallet
Copy to clipboard Copy text

Details

Type Project
Department African Studies
Project ID AFS0002
Fee ₦5,000 ($14)
No of Pages 93 Pages
Format Microsoft Word

Related Works

SHUKRANI Kazi hii imekamilika kutokana na michango ya watu mbalimbali walioshirikiana nami kuona inafanyika kama ilivyopangwa. Sina budi kutoa shukrani zangu za dhati kwa watu wote walionisaidia katika kufanikisha utafiti huu. Kwanza, kabisa napenda kumshukuru Mungu kwa kunipa uhai, uzima na afya njema hata nikaweza kufanikisha kazi hii bila... Continue Reading
THE OCCURENCE OF HEAVY METALS IN GILLS,MUSCLES, AND LIVER OF CHRYSICHTHYS NIGRODIGITATUS OBUFA ESUK BEECH , GREAT KWA RIVER CHAPTER ONE 1.1 Introduction Heavy metals are those metallic elements with high atomic or specific gravity that is at least five times greater than that of water. Several elements have been listed in this group. The presence... Continue Reading
YALIYOMO TABARUKU SHUKRANI UNGAMO IDHINI . YALIYOMO ORODHA YA MAJEDWALI viij IKISIRI SURA YA KWANZA 1 .0 Utangulizi 1 1 . 1 Usuli wa n~ada 2 1 .2 Tatizo I a U o~ 6 ii 3 1 .3 Malengo ya utaliti 4 1 .3. 1 Len go In ju iii In 4 1 .3.2 Malengo mahsusi 4 I .4 Maswali yn at afiti 4 1.5 Upeo wa utafiti 5 1 .5. 1 Upeo xva kin Cu ncli 5 1 .5.2 Upco wa... Continue Reading
ABSTRACT  The study was carried out in Primary Schools in Mukuru Kwa Reuben Slum in Nairobi Kenya to find out the challenges encountered by pre-school teachers in teaching learners with reading difficulties. The problems found to be responsible were lack of knowledge in handling the this children especially those with special learning problems;... Continue Reading
Call Us
whatsappWhatsApp Us